Maisha ya kila siku
Tumia mwenyewe kufuatilia mapato, matumizi, malengo ya akiba, na bajeti yako ya mwezi.
Andika mapato, matumizi, wallet, bajeti, malengo, na gharama za project kwenye workspace yako binafsi. Budget Pro itakutumia report za siku, wiki, na mwezi kwa SMS na email, pamoja na reminders muhimu.
Tumia mwenyewe kufuatilia mapato, matumizi, malengo ya akiba, na bajeti yako ya mwezi.
Invite mtu unayemuamini kwenye familia ili kila mmoja ajaze mapato na matumizi kwenye workspace moja.
Tumia kwa project kama ujenzi wa nyumba na uone kila gharama kuanzia mwanzo mpaka mwisho.
Pokea muhtasari wa siku, wiki, na mwezi kwa SMS na email, pamoja na PDF reports zenye mwonekano mzuri.
Taarifa zako haziingiliani na taarifa za mtu mwingine. Budget Pro haishare data zako na mtu mwingine, na mfumo huu hauna admin panel ya kuangalia fedha za watumiaji.
Ukipata shida ya technical, tuma email kwenda support@budgetpro.site.